03
Feb
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA Upande wa Taaluma, Utafiti na Ushauri wa Kitaalamu Prof. Maulid Walad Mwatawala amepongeza Watafiti wa Mradi wa GRILI kwa kufanikiwa kufikia malengo yote matatu ya utafiti huo muhimu kwa Taifa.